Recent content by fatmamajjid

  1. fatmamajjid

    JamiiForums Tanzania Watumishi wa TRA Wanaoomba Rushwa—Uzoefu Wako Ukoje? Tuwafichue hapa

    Mtarban Ndugu yangu kwa ushauri tu unaweza Kumrepoti wanayo utaratibu mzuri tu wa kuwashughulikia watumishi wao wachafu na watakupa taarifa/Mrejesho mzuri tu https://taxpayerportal.tra.go.tz/#/misconducts/form/report-misconducts
  2. fatmamajjid

    JamiiForums Tanzania Watumishi wa TRA Wanaoomba Rushwa—Uzoefu Wako Ukoje? Tuwafichue hapa

    Binafsi nikupongeze kwa kuanzisha huu mjadala 😊 Mimi namiliki duka la dawa. Nilipopata changamoto kama hii, nilituma taarifa moja kwa moja TRA kupitia: https://taxpayerportal.tra.go.tz/#/misconducts/form/report-misconducts Walijibu kwa wakati na walifanya uchunguzi. Ni vizuri ku-post hapa...
  3. fatmamajjid

    JamiiForums Tanzania Daniel Balili Gilbert Buberwa amepotea, ndugu zake tunamtafuta

    Tunapenda kutoa taarifa kwa umma kuwa kijana wetu mpendwa Daniel Balili Gilbert Buberwa (miaka 17), mwanafunzi wa mwaka wa kwanza wa Diploma ya Uhandisi wa Kompyuta (Computer Engineering) katika Chuo cha DIT, amepotea tangu mchana wa jana. Taarifa za mwisho kumhusu zinaeleza kuwa alionekana...
Back
Top Bottom