Ebwana, nilikuwa na msichana mmoja tulipendana sana, lakini huyo msichana alikua na rafiki yake wa kiume marafiki kweli.
Siku moja huyo rafiki yake alimwita geto sijui jamaa alikuwa na ugwadu wa miaka, ndio akaumalizia kwa msichana wangu.
Yaani mbaya zaidi na mimba ikaingia. Msichana...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.