Recent content by FATHER JOKA

  1. FATHER JOKA

    Ushauri wa namna bora ya kujenga banda bora la kuku wa mayai 500

    Nataka kuanza kufuga kuku wa mayai na nataka kujenga banda. Naomba ushauri mambo mhimu ya kuzingatia ili nisiingie chaka.
  2. FATHER JOKA

    Naomba ushauri kuhusu malipo ya mkopo niliochukua Fanikiwa Microfinance LTD

    Ni kweli kabisaa ila ilishatokea ni kwa sababu ya kilichonikuta kwa muda huo.. Nimeshajutia sana sana
  3. FATHER JOKA

    Naomba ushauri kuhusu malipo ya mkopo niliochukua Fanikiwa Microfinance LTD

    Ndugu nishaenda kwa DED wakanipiga chenga sana
  4. FATHER JOKA

    Naomba ushauri kuhusu malipo ya mkopo niliochukua Fanikiwa Microfinance LTD

    Ishu Ishu inakuwa hivi ninamkopo CRDB ila nikihamishia deni hilo CRDB watanikopesha 5MIL kwa hiyo nalipa deni la FANIKIWA nabakiwa na 3 mil.YAANI NITA RENEW MKOPO WA CRDB
  5. FATHER JOKA

    Naomba ushauri kuhusu malipo ya mkopo niliochukua Fanikiwa Microfinance LTD

    Siyo hiyo ila kuna wengine nilishawapa HALI TETE
  6. FATHER JOKA

    Naomba ushauri kuhusu malipo ya mkopo niliochukua Fanikiwa Microfinance LTD

    Mpaka kufikia hapa jua sina mshahara nilishakopa mpaka kiwango cha mwisho.1/3ya mshahara
  7. FATHER JOKA

    Naomba ushauri kuhusu malipo ya mkopo niliochukua Fanikiwa Microfinance LTD

    Habari wadau na nduguzangu.. Mimi ni mtumishí wa umma, kuna kipindi nilikopa fedha kampuni ya FANIKIWA MICROFINANCE LTD kiasi cha Tsh. Milioni 2 ila mkopo huu ni wa riba kubwa. Baada ya kumaliza shida iliyonikabili nikaomba CRDB wanilipie deni wakakubali lakini FANIKIWA wamekataa wanadai mpaka...
Back
Top Bottom