Recent content by FASHIST

  1. FASHIST

    Mgogoro wafukuta NCCR - Mageuzi

    Mbatia kahusikaje hapa?
  2. FASHIST

    Matokeo rasmi ya Urais kwa mujibu wa NEC (Official Results) - Uchaguzi Mkuu 2015

    ishu ya ZNZ imesababisha matokeo ya bara kukwama!
  3. FASHIST

    Mgombea Urais wa CHADEMA, E. Lowassa na mgombea mwenza wanapeleka NEC petition yao

    Lubuva kaingia mitini na matokeo ya MAGUFULI.
  4. FASHIST

    Kafulila kutinga mahakamani kutetea ushindi wake!

    Mafisadi wa Escrow wameamua kumdhulumu dogo ushindi wake. Mungu atalipa.
  5. FASHIST

    January Makamba: Uchaguzi Zanzibar hauna mahusiano na uchaguzi wa Rais wa Jamhuri

    Magazetini Nimemsikiliza LOWASSA, LIPUMBA, MBATIA, hata MAALIM SEIF, hakuna hata mmoja aliyewataka vijana kuingia barabarani! wote wanaombea AMANI ya Tanzania, sasa hili la kuwaambia vijana wavunje AMANI, January amelitoa wapi? Mbona CCM mnakuwa hivi?
  6. FASHIST

    January Makamba: Uchaguzi Zanzibar hauna mahusiano na uchaguzi wa Rais wa Jamhuri

    january Makamba , Pitia pitia huko, ujisomee mawaidha ya watanzania wazalendo!
  7. FASHIST

    January Makamba: Uchaguzi Zanzibar hauna mahusiano na uchaguzi wa Rais wa Jamhuri

    Sasa kama ZEC iligundua kulikuwa na madudu yaliyosababisha mshindwe vibaya huko Zenji, mlipaswa kuwaunga mkono ili kufanikisha hili lengo lenu, nashangaa mnawakataa tena! Kweli CCM imefitinika!
  8. FASHIST

    January Makamba: Uchaguzi Zanzibar hauna mahusiano na uchaguzi wa Rais wa Jamhuri

    Wale wapiga kura feki kwa mujibu wa ZEC, hawakumpigia LOWASSA au MAGUFULI? Hivi CCM ni nani aliyewaloga? Mbona uwezo wenu wa kufikiri umegota hivi?
  9. FASHIST

    Lubuva: Kinachosomwa na tume ndicho kilichopo majimboni

    Hata CCM pia ni muathirika mmojawapo wa hii katiba Mbovu, sema kwa ajili ya upeo wako finyu! Hujui tu!
  10. FASHIST

    Usahihi: Maalim Seif hajajitangazia ushindi urais Zanzibar!

    Alichofanya seif ni kukusanya matokeo na kutangaza, bila kujitaja kama ameshinda au la! Sasa kama amechukua matokeo yaliyobandikwa na watendaji wa ZEC, na CCM ilikuwa na mawakala wake mle, shida iko wapi?
  11. FASHIST

    Usahihi: Maalim Seif hajajitangazia ushindi urais Zanzibar!

    January Makamba aliyetutajia idadi na ya majimbo ambayo CCM imeshinda, pamoja na kututajia tarehe ya kuapishwa kwa MAGUFULI, je, yeye hakuvunja sheria, Watu wa CCM mmelogwa nini?
  12. FASHIST

    Mbatia: Hauwezi ukafuta uchaguzi wa Zanzibar ukaacha uchaguzi wa Jamhuri ya muungano

    CCM itajuta kumfahamu LOWASSA, nimemuona January Makamba anajitoa ufahamu eti anasema kuwa ya ZNZ hayatuhusu, bila kufahamu kuwa, kama kulikuwa na "wapiga kura hewa", "vitambulisho feki" basi na matokeo ya huku yameathirika! Sasa kama ZEC wanasema kuwa hali ya uchaguzi haikuwa shwari, kwanini...
  13. FASHIST

    Davis Mosha aahidi kutimiza ahadi alizotoa wakati akigombea Ubunge Moshi Mjini

    Lini ulisikia NDESA anatoa misaada, acha ushamba wewe!
  14. FASHIST

    Mbatia: Hauwezi ukafuta uchaguzi wa Zanzibar ukaacha uchaguzi wa Jamhuri ya muungano

    Moja ya sababu ya kufutwa kwa uchaguzi wa Zanzibar ni kuwepo kwa raia ambao walipiga kura bila ya kuwa na vitambulisho. Je watu hao hawakumpigia Magufuli au Lowassa? Lubuva ana uthibitisho gani mpaka anatuhakikishia kuwa kufutwa kwa uchaguzi wa zanzibar hakujaathiri huku bara?
  15. FASHIST

    Hii ya Maalim Seif nimeielewa, ila hii ya Lubuva mh!

    Lubuva atakufa mdomo wazi. Anajaribu kutupoka haki zetu. Mungu amlaani.
Back
Top Bottom