Recent content by Fasco

  1. F

    Kwanini CHADEMA wanauchukia Mwenge wa Uhuru?

    Piga hesabu ni kiasi gani kinatumika kwa shughuli hizo za mwenge, kisha linganisha na jumla ya thamani ya miradi ilyozinduliwa na mwenge, halafu utaona kama kuna maendeleo?
  2. F

    PINDA: Ukiwa mkaidi usilalamike pale kichapo kitakapokufikia

    Ukiruhusu hisia za mwili wako kufanya maaumuzi badala ya utashi, kunakuwa na tofauti ndogo sana kati wanyama wa kawaida na binadamu. Mh. ni mara ya pili sasa anapingana na sheria za nchi alizoapa kuzilinda kwa niaba ya wanyonge(ambao leo anaamuru kupigwa kwao) kwa sababu ya hisia. Akumbuke kuwa...
Back
Top Bottom