Recent content by Faru_john01

  1. F

    JamiiForums Tanzania Kwa mwelekeo wa uchumi Tanzania 'Toyota Aqua' mbioni kudondosha soko la 'Toyota ist'

    tatizo ni kadogo mno hata ukipishana na semi anaweza kukutoa nje ya road. mi na babywalker hata zitumie maji haya ya kunywa sitakuja kuvutika na upepo wake hata
  2. F

    JamiiForums Tanzania High perfomance cars!

    VW Golf GTI anakamata wote hapo kwenye list ukiiacha Nissan GT-R
  3. F

    JamiiForums Tanzania High perfomance cars!

    niliwahi kuwa na subaru plain, haina turbo kila nilipokutana na watu wa crown na brevis nilikuwa nawapa overdrive nilikua nawapoteza hatari sana, sasa yenye turbo najua moto wake ni balaa zaidi
  4. F

    JamiiForums Tanzania High perfomance cars!

    Yaris mnyama sana
  5. F

    JamiiForums Tanzania Car4Sale Nauza Toyota Vanguard

    Shida ya gari za Toyota ni bei ukilinganisha na gari europe, gari zinazofanana lakini bei zake ni rafiki sana kuliko hizi mjapan hasa Toyota
Back
Top Bottom