Kama ni kujifunza, pateni muda mtembelee Bandari ya Dar Es Salaam hivi sasa, kwa bahati mbaya tangu Majaliwa na Magufuli waanze kushughulika na changamoto za Bandari, hivi sasa wanajitokeza wataalamu wengi sana wa Bandari. Unaweza kuuliza watu hawa walikuwa wapi siku zote? Jibu ni moja tu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.