Kazi nzuri kwa jeshi la polisi kumkata huyo anafanya mauaji kwa kupewa pesa, ushauri abanwe ili awataje na wale wote waliokuwa wanamtuma.nadhan mauaji kwa wanawake yatapungua.huko; shinyanga, geita, kahama, na kwingine kwa wasiokuwa na imani. Mwenyez Mungu atupe mwisho mwema.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.