Nimemaliza form 4 mwaka 2015 mwaka huu nataka kujiunga na chuo sasa naomba mnishauri ndugu zangu nikasomee course gani ambayo yenye mafanikio pindi nikihitimu huko ngazi za mbele iwe diploma au labda mbele zaidi ila kwa sasa nahitaji kuanza na certificate sasa ipi au zipi course lukuki, sio afya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.