Habari wana JF,TPB walitoa tangazo la kazi kwa nafasi za freelancers na team leaders,nilituma maombi kwa e-mail lakini ilifail,lakini leo wamenitumia sms tano mfululizo za aina moja wakinihitaji kwenye usaili keshokutwa,pia wametoa namba zao kwa shida yoyote.Je,watakuwa kweli ni wao au watapeli...