Recent content by farah hassan

  1. farah hassan

    Kufukuza idlers mkahawani

    Habari zenu Kuna mkahawa nimefungua ila Nina tatizo na marafiki wanaokaa nje viti vya customers Ntawafukuzaje
  2. farah hassan

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    [emoji23] [emoji23] [emoji23] naona mhindi hapumui..wacha basi nitafute za NBA alale njaa
  3. farah hassan

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Kushindwa na kushinda..sio bet won pekee[emoji1]
  4. farah hassan

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Leo amelala njaa basi..clippers si wa kuamnka tena..lakini leo usku naona games rahisi nyingi..hapumui mhndi
  5. farah hassan

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Dah pia mm.nets wanapiga 3points ajabu..mpaka cashout ilifungwa..asanti mungu[emoji1]
  6. farah hassan

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Siku ya tano nba free money.won
  7. farah hassan

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Sacramento hawaamnki.ila gd luck
  8. farah hassan

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Leo nilimpiga vizuri.hela ndefu saana.niliogopa nipoteze.ila narudisha NBA.
  9. farah hassan

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    12mins lakini timeouts na pauses inaweza enda hadi 30mins
  10. farah hassan

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Marseille walinifanya nicashout hasara..90+ goal..[emoji33]
  11. farah hassan

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Sasa naaza kuwapa teams ndogo handicap 2+..unashangaa wanashinda ama draw bado goals mbili unazo pembeni..ingawa odds chache..teams tatu 2odds unapata
Back
Top Bottom