Recent content by FamousinTown

  1. F

    JamiiForums Tanzania Naomba kufahamishwa fursa na maisha nchini Qatar

    Asante ,ila Nahitaji changamoto mpya na new exposure
  2. F

    JamiiForums Tanzania Naomba kufahamishwa fursa na maisha nchini Qatar

    Wasalaam! Naomba kujua gharama, Maisha na fursa zinazopatikana nchini Qatar kwa wanaoishi huko au waliowahi kuishi huko.
  3. F

    JamiiForums Tanzania Ni kweli kuna dawa ya kuzuia maambukizi ya HIV ndani ya masaa 72?

    Tunashukuru kwa maarifa kaka ,ila Naomba ufafunuzi kidogo truvada ipoje na yenyewe
  4. F

    JamiiForums Tanzania Nafasi za Ajira za muda za Makarani na Wasimamizi wa Sensa ya Watu na Makazi ya mwaka 2022

    Ilala na kinondoni vp wadau mbona bado wapo kimya Sana
  5. F

    JamiiForums Tanzania Nafasi za Ajira za muda za Makarani na Wasimamizi wa Sensa ya Watu na Makazi ya mwaka 2022

    Ilala ,kinondoni na Temeke vipi wenye mkeka Tupia hapa
  6. F

    JamiiForums Tanzania Nafasi za Ajira za muda za Makarani na Wasimamizi wa Sensa ya Watu na Makazi ya mwaka 2022

    Dsm vipi wakuu ,lini mkeka unatoka ?
  7. F

    JamiiForums Tanzania Nafasi za Ajira za muda za Makarani na Wasimamizi wa Sensa ya Watu na Makazi ya mwaka 2022

    Wenye PDF tushare hapa kwa Temeke na wa DSM wilaya zote
  8. F

    JamiiForums Tanzania Nafasi za Ajira za muda za Makarani na Wasimamizi wa Sensa ya Watu na Makazi ya mwaka 2022

    Dsm na mikoa mingine vipi ,mdau wenye updates watoe mikeka hapa
  9. F

    JamiiForums Tanzania Nafasi za Ajira za muda za Makarani na Wasimamizi wa Sensa ya Watu na Makazi ya mwaka 2022

    Ilala majina 350 wilaya nzima ,Mungu atusaidie kuna dalili nzuri tukatoboa kwa wnye kufahm wilay nzm au kata itahitaji makaran wngp atujuze
  10. F

    JamiiForums Tanzania Nafasi za Ajira za muda za Makarani na Wasimamizi wa Sensa ya Watu na Makazi ya mwaka 2022

    Temeke tyr tangu Jana ,cheki kata yako
  11. F

    JamiiForums Tanzania Nafasi za Ajira za muda za Makarani na Wasimamizi wa Sensa ya Watu na Makazi ya mwaka 2022

    DSM usaili ni lini ,wadau ?na majina wilaya ya ilala & tmk yanatoka lini ?
  12. F

    JamiiForums Tanzania Nafasi za Ajira za muda za Makarani na Wasimamizi wa Sensa ya Watu na Makazi ya mwaka 2022

    Wadau tuendlee kushusha Updates kwa wingi
  13. F

    JamiiForums Tanzania Nafasi za Ajira za muda za Makarani na Wasimamizi wa Sensa ya Watu na Makazi ya mwaka 2022

    Kama inaelekea kuwa kweli mdau maana na Mimi nimetumiwa jumbe km hiyo asubuhi
Back
Top Bottom