Dah! Aisehe, nashkuru xana remedy50 kwa kunifungua ubongo na kunipa changamoto ila i wish kukomaa na PCB licha ya ugumu wake coz naamini kwamba "WHAT U BELIEVE HAS MORE POWER THAN WHAT U DREAM OR WISH OR HOPE FOR". (According to Deepak Chopra)
Na kuhusu CBG bro ntaenda kusomea nini chuo ambacho ni marketable!!?
Usinichoke bro naomba ushauri wako according to ur expirience maana dah ndo nimekwama hvy ndg yng
Dah!! Kaka me nataman xana chuo kuxoma koz za afya kwa malengo ya kuwa daktar na whoever kutokana na masomo hayo na still nnayaweza kwan hata perfomance yng co mby kwasabab huwa nasoma ucku na mchana na kuhangaika huku na kule kutafuta msaada mbalimbali juu ya maxomo yangu ili kufikia malengo yangu.
Mambo vp brothers & sisters...!!
Ni mimi hapa mdogo wenu Falih kutoka pande za mbagala, leo nipo humu ndani kuomba ushauri wenu wadau wa ELIMU juu ya wazo langu katika safari hii ya elimu yenye vikwazo kadha wa kadha..!
All in all ni kwamba me ni mwanafunzi aliyehitimu kidato cha nne {FORM IV}...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.