Recent content by Fakyh Yusuph

  1. Fakyh Yusuph

    JamiiForums Tanzania Niulize chochote kuhusiana na biashara, masoko na mauzo

    Nashkur kwa ushaul wako mzur god bless u
  2. Fakyh Yusuph

    JamiiForums Tanzania Niulize chochote kuhusiana na biashara, masoko na mauzo

    Mm nipo dar kigmbn mtaji ninao nimepanga kufungu duka la jumla la kuuza sigara tu aina zote sasa mwenye uelewa kuhusu sehemu ya kwenda kununulia kama ni kiwandani au kuna wakala nahitaji kujua utaratibu wa sehemu ya kupata mzigo kwa jumla na mm nitakua nauza jumla na leja leja . Nawasilisha...
  3. Fakyh Yusuph

    JamiiForums Tanzania BIDHAA ZA SIGARA KWA DSM HUPATIKANA WAPI KWA BEI ZA JUMLA NA TARATIBU ZA UNUNUAJI ZIKOJE ANAEJUA HILI ANIJUZE

    Habar wana jamv mm nihitaji kuanza biashara ya kuuza sigara kwa JUMLA na rejareja sasa naomba mnifahamishe anayejua hizo bidhaa za sigara kwa JUMLA huwa zinapatikana wapi kwa dar na utaratibu wake ukoje mm nataka niwe mzigo ninunulie kiwandani ila sielewi taratibu zao na sehemu zinazopatikana...
Back
Top Bottom