Hi wana jf, najitokeza Kwa mara Ya kwanza kutafuta mke wakuoa kupitia jukwaa hili la Jf. Samahani Kwa nitao wakwanza kuandika bandiko langu. Jamani mke anapatikana popote hata kupitia humu nipo sahihi.
Mimi ni mwanaume natafuta mke wa kuoa, nina umri wa miaka 34,Elimu yangu ni stashahada...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.