Recent content by faisaldawood

  1. faisaldawood

    JamiiForums Tanzania Tuache siasa kwenye elimu ya Udaktari na Sheria. Jifunze kikwazo kilichopo Law School of Tanzania

    100% nakuunga mkono hoja yako Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
  2. faisaldawood

    JamiiForums Tanzania Hongereni sana Law School of Tanzania kwa kulinda ubora wa fani ya sheria hapa Nchini

    Mi nafkiri Law school haitoi mawakili tu, but ili uwe wakili lazima upitie law school, ndio maana sasa hiv hata ili uwe jaji au hakimu lazma uwe umepitia law school Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
  3. faisaldawood

    JamiiForums Tanzania Hongereni sana Law School of Tanzania kwa kulinda ubora wa fani ya sheria hapa Nchini

    Idadi ya waliofaulu itapatikana baada ya supplementary kufanyika, so namaanisha itakuwa ni zaidi ya 26, hao 26 ni walio clear tu, binafsi sijaona kitu cha kushangaza hapo kwenye hayo matokeo Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
  4. faisaldawood

    JamiiForums Tanzania Uteuzi wa Makamba kama Waziri wa Nishati na aliyofanya alipoteuliwa umenifanya niwakataze watoto wangu kuchukua masomo ya Sayansi

    Autopilot, kwakweli maana hata nchini kwenyew haonekanini safari kila kukicha[emoji1787]
  5. faisaldawood

    JamiiForums Tanzania Profesa Kabudi: Trilioni 360 za makinikia haikuwa kodi sahihi, Nilikosea kutumia neno “Jalala”

    Hawezi fungiwa sababu kinachoongelewa bungeni huwa kina privilege, Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
  6. faisaldawood

    JamiiForums Tanzania Unyama huu wanaoufanya Polisi utamgharimu Rais Samia

    Yan kiufupi anamaanisha si jukumu la polisi kuyoa adhabu, ni jukumu la mahakama, sheria ndo inataka hivyo, kwenye sheria huwa wanasema ni vyema kuwaachia huru watu mia waliokuwa na makosa kuliko kumuadhibu mtu asiye na hatia, yani polisi wanapoamua kuchukua kundi la watu pasipo kufanyika...
Back
Top Bottom