Recent content by Fai11

  1. F

    Khaligraph jones vs albert mangea(ngwair)

    Ni mkali yeah ila si kwa level ya Ngwair. Nlianza kumfatilia alipopiga collabo na Nikki mbishi #baba yao. The dude is good tho
  2. F

    Khaligraph jones vs albert mangea(ngwair)

    Yeah na ni mkali kuzidi Orbit kidogo.. They got same style n same flows ila Khali kaongeza userious kuzidi Orbit kila mara anachia nyundo.. Ila kufika kwa Ngwair itabaki kua kazi ya ziada
  3. F

    Khaligraph jones vs albert mangea(ngwair)

    Khaligraph mfnanishe na Orbit wa mkaveli ndo level zake
Back
Top Bottom