Recent content by Fahad Abdallah

  1. Fahad Abdallah

    JamiiForums Tanzania Ajali iliyoua watoto 5 huko Mbeya imenisikitisha sana; Lakini hebu tujadili mambo haya machache kiufundi kwa usalama wetu

    Umenifumbua macho.Ahsante kwa andiko lililojaa madini Fundi.
  2. Fahad Abdallah

    JamiiForums Tanzania Mwanza: watoto waliotekwa wapatikana, watekaji wauawa kwa kupigwa risasi

    Mtu unajiita Savage, ningeshangaa sana kama ungetoa hoja yenye mashiko.Bado zamu yako.Tena wewe ukikamatwa wakumiminie risasi za mat***k kabisa.
  3. Fahad Abdallah

    JamiiForums Tanzania Samaki wa urembo wanaondoa stress ona hapa

    Msosi wao ni upi? au hawali?
  4. Fahad Abdallah

    JamiiForums Tanzania Full time: Simba SC 1 - 0 Bravos do Maquis FC | CAF CC | Benjamin Mkapa Stadium | 27-11-2024

    Upo vizuri.Au kuna posho huku alafu hatuambiani?
  5. Fahad Abdallah

    JamiiForums Tanzania FT: Al Ahly Tripoli 0-0 Simba SC | CAF Confederation Cup | Tripoli International Stadium | 15/09/2024

    Mkuu nisaidie link nyingine kama utakuwa nayo.Hii naona inanipeleka kwenye ads kila ninapofungua
  6. Fahad Abdallah

    JamiiForums Tanzania FT: Al Ahly Tripoli 0-0 Simba SC | CAF Confederation Cup | Tripoli International Stadium | 15/09/2024

    Msaada wa link inayoonesha hii mechi wakuu.
  7. Fahad Abdallah

    JamiiForums Tanzania MSAADA: Mtoto wa miaka minne anachemka sana kwa siku tatu mfululizo. Hospitali alipimwa malaria, hana

    Nimeuzingatia ushauri wako.Wametumia BS amekutwa na malaria 7.Ahsanteni sana.
  8. Fahad Abdallah

    JamiiForums Tanzania MSAADA: Mtoto wa miaka minne anachemka sana kwa siku tatu mfululizo. Hospitali alipimwa malaria, hana

    MREJESHO:Kutokana na ushauri wenu,nilimpeleka mtoto hospitali tofauti na ile ya mwanzo.Wametumia BS badala ya MRDT test.Amekutwa na malaria 7.Ameshaanza dozi ya ALU.Nawashukuru sana. Mungu awabariki sana.
  9. Fahad Abdallah

    JamiiForums Tanzania MSAADA: Mtoto wa miaka minne anachemka sana kwa siku tatu mfululizo. Hospitali alipimwa malaria, hana

    Nipo Mwanza mkuu.Nilimpeleka zahanati.Ila kwa sasa nipo njiani naenda nae sekou_toure
Back
Top Bottom