Je, unatambua kuwa kuna aina kuu mbili za mali? Kuna mali isiyohamishiķa na mali inayohamishika. Ungependa kujua maana ya dhana ya Bei, thamani au gharama kama zinavyohusishwa na mali?
Kwa Mfano, umejenga nyumba kwa milioni ishirini, ukaiuza kwa milioni hamsini lakini nyumba yako ungekuwa wewe...
Utangulizi
Kufuatilia matumizi ya fedha za miradi ya serikali ni muhimu ili kuhakikisha uwazi, uwajibikaji, na matumizi sahihi ya rasilimali za umma. TAKUKURU jama taasisi inayosimamia kuzuia na kupambana na Rushwa nchini Tanzania ina wajibu mkubwa wa kuhakikisha kuwa fedha za miradi ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.