Recent content by fadhajr

  1. F

    JamiiForums Tanzania Kuchelewa kwa mishahara ya Mwezi Machi 2015 kwa watumishi wa Umma

    Mnapiga kelele huku huyo Jk anaingia huku? Alafu pia mjifunze uvumilivu ikifika 31 ya mwezi ndo hata ukilalama mtu anakuelewa sasa mtoa hoja tarehe 20 unataka malipo hahahaaaaaaa
  2. F

    JamiiForums Tanzania Kuchelewa kwa mishahara ya Mwezi Machi 2015 kwa watumishi wa Umma

    Kwani nini maaana ya neno mwisho wa mwezi??
  3. F

    JamiiForums Tanzania Tanzania ya enzi hizo katika picha

    King Kong iii naomba hizi photos uniingizie kwa whatsapp 0715398852
  4. F

    JamiiForums Tanzania Kigogo Polisi akumbwa na tuhuma nzito

    Mambo mengine ukiyasikiliza yanatia kichefuchefu kabisa
  5. F

    JamiiForums Tanzania Kigogo Polisi akumbwa na tuhuma nzito

    Huyo Ally anaonekana ana majungu sana ukiisoma hiii habari inaonekana kabisa imekaa kimajungumajungu wadau mnatakiwa muwe mnang'amua mambo sio kutupa lawama tuuu kwa polisi kama ww mwandishi uliitwa ofisini kwa nn usingeenda ili kukusanya habari zote 2 then utoe maoni yako?
Back
Top Bottom