Recent content by fact only

  1. fact only

    JamiiForums Tanzania Kilimanjaro: Askari 6 wapata ajali wakiwa wanakwenda kuchukua mahabusu

    Officers 👮‍♂️ Sheria za barabarani muhimu kufuatwa bila kujali cheo/kazi yako.
  2. fact only

    JamiiForums Tanzania Hii ina-maana Daktari alikuwa sahihi kumshushia KIPIGO Trafiki?

    Dereva anavunja sheria makusuduni kwasababu anajua akitoa rushwa issue inaisha. Matatizo hayataisha Barabarani.
  3. fact only

    JamiiForums Tanzania Hii ina-maana Daktari alikuwa sahihi kumshushia KIPIGO Trafiki?

    😀 wewe umefika mbali sana Mkuu. Kichapo tu kinatosha kwa Trafiki mpenda rushwa.
  4. fact only

    JamiiForums Tanzania Hii ina-maana Daktari alikuwa sahihi kumshushia KIPIGO Trafiki?

    😀 Mkuu we muangalie ukiona unamuweza tembeza mkong'oto(kama unamuweza lakini) hivihivi mtalia sana.
  5. fact only

    JamiiForums Tanzania Hii ina-maana Daktari alikuwa sahihi kumshushia KIPIGO Trafiki?

    Ufafanuzi wako mzuri sana mkuu. Ndiyo maana nikasema imefika hatua Trafiki anaona kupewa rushwa ni moja kati ya haki zake za msingi. Je madereva wataponea wapi kwa kulazimishwa kutoa rushwa kama haki ya Trafiki.
  6. fact only

    JamiiForums Tanzania Hii ina-maana Daktari alikuwa sahihi kumshushia KIPIGO Trafiki?

    Sheria lazima zifuatwe kama zilivyo wekwa kwa upande wa madereva. Ila Trafiki wao wanavunja sheria kwa kutaka rushwa inafika stage mpaka wanaona kama kupewa rushwa ni haki yao ya msingi. Mkuu unadhani hawa Madereva wanaweza kushataki wapi tatizo hili la Trafiki kuona rushwa ni haki yao msingi?
  7. fact only

    JamiiForums Tanzania Hii ina-maana Daktari alikuwa sahihi kumshushia KIPIGO Trafiki?

    😀 sio wote wabaya mkuu. Wapo walio nyooka.
  8. fact only

    JamiiForums Tanzania Hii ina-maana Daktari alikuwa sahihi kumshushia KIPIGO Trafiki?

    Aisee noma sana Mkuu. Daktari aliona huyu Trafiki namuweza kabisa alafu analeta usiku wakati jua ndiyo kwanza linachomoza.
  9. fact only

    JamiiForums Tanzania Hii ina-maana Daktari alikuwa sahihi kumshushia KIPIGO Trafiki?

    Mkuu naomba twende taratibu na kwa hoja. Kwani Madereva wanagoma kwa sababu ya kutaka uhuru wa kuvunja sheria za Barabarani?
  10. fact only

    JamiiForums Tanzania Hii ina-maana Daktari alikuwa sahihi kumshushia KIPIGO Trafiki?

    Vyote kwa pamoja Mkuu. Nataka nione mtazamo wa wana JF.
  11. fact only

    JamiiForums Tanzania Hii ina-maana Daktari alikuwa sahihi kumshushia KIPIGO Trafiki?

    Pesa hamna ustaarabu nao hamna. Kama unamuweza shusha kipondo tu ili nafsi yako ikae sawa(kama unamuweza lakini).
  12. fact only

    JamiiForums Tanzania Hii ina-maana Daktari alikuwa sahihi kumshushia KIPIGO Trafiki?

    Hellow wana JF. Kutokana na sakata linalo endelea hivi sasa la madereva wa Tanzania kugoma kutoa hudumu za usafirishaji. Kutokana na sababu mbalimbali na lawama kubwa kwa Matrafiki wa barabarani. Je ina-maana bwana Daktari alikuwa sahihi kumshushia kipondo kizito Trafiki?
  13. fact only

    JamiiForums Tanzania Unakuta mwanamke ana miaka 25, lakini tayari amekuwa na mahusiano ya kimapenzi na wanaume zaidi ya 15

    Aisee hatari sana mkuu. Kuna maisha watu wanaishi hata wanyama wa mwituni hawaishi hivyo, nikiwa na maana kwamba kuna binadamu wanazidiwa ustaarabu na wanyama. Ila good for her kama amebadilika.
  14. fact only

    JamiiForums Tanzania Unakuta mwanamke ana miaka 25, lakini tayari amekuwa na mahusiano ya kimapenzi na wanaume zaidi ya 15

    Good, kuna ukweli mkubwa katika hayo uliyo yaeleza mkuu. Lakini pia mtindo wamaisha nao unachangia kwa ukubwa zaidi. Mfano binti anaweza akawa amelelewa vizuri kabisa hapo kijijini Moshi ila akija masomoni tuseme labda Mwanza, Mbeya au Dar es salaam ile pressure yakuwa freedom hawezi...
  15. fact only

    JamiiForums Tanzania Unakuta mwanamke ana miaka 25, lakini tayari amekuwa na mahusiano ya kimapenzi na wanaume zaidi ya 15

    Bado hauko sure mkuu ili na mimi nikatae ndoa kama unavyo sema wewe inatakiwa unipe sababu WHY and how ni utapeli? how ni kifo and how ni ufala?
Back
Top Bottom