Recent content by Fabys

  1. F

    JamiiForums Tanzania Waziri Kigwangalla: Walishindwa kuniua wakati ule! Naingia vitani kwa silaha zote na vita ni asili yangu

    Nadhani ungetueleza ukweli wa zile tuhuma tungekuelewa lakini hapa unaonekana unatuomba tukuonee huruma na mwisho tukuogoe. Upo ktk utumishi wa umma tueleze kwa jinsi gani zile tuhuma sio kweli. Tuna haki ya kujua ukweli na sio huruma Sent using Jamii Forums mobile app
  2. F

    JamiiForums Tanzania Vyama vya wafanyakazi vimekosa tija kwa sababu ya kuongozwa na makada wa CCM

    Nadhani ile sheria iliyowekwa kwa ajili ya TLS ifanye hivyo kwa TUCTA pia
  3. F

    JamiiForums Tanzania Watu wa Kurugenzi ya Habari Ikulu hawana uwezo, walilipwa fadhila

    Na hasa ukizingatia wale ni wabakaji na walawiti sidhani habari yao inafaa kutangazwa kokote
  4. F

    JamiiForums Tanzania Special appreciation to Special operative-Prof Mruma!

    Nampongeza kwa kuweza kuruhusu tupigwe kwa nia ya kulisaidia Taifa Sent using Jamii Forums mobile app
  5. F

    JamiiForums Tanzania DODOMA: Tundu Lissu ajeruhiwa kwa risasi, akimbizwa Hospitali

    The unknown people Sent using Jamii Forums mobile app
  6. F

    JamiiForums Tanzania Kukamatwa kwa bombardier yetu, nahisi lina uhusiano na makinikia ya Acacia.

    Nasikia mikutaniko ya hadhara kupeana taarifa imezuiwa. Na ile iliyoruhusiwa wanapangiwa cha kuongea ili serikali isieleweke vibaya kwa wasikilizaji. Najiuliza hivi hii mikutaniko ingekuwa ruksa Wasemaji wakuu wasingepangiwa cha kusema, tungesikia mangapi? Haya machache yanasumbua kiasi...
  7. F

    JamiiForums Tanzania Itashangaza sana kama bado Lowassa na Sumaye wanaendelea kupokea masurufu ya Ustaafu

    Kawaida ukitolewa Marinda yanaondoka na akili
  8. F

    JamiiForums Tanzania Tanzania chini ya Rais Magufuli itaimarika kiuchumi, kidemokrasia na Utawala Bora

    Huwa sielewi sometimes unakuwa kama msomi, mwelewa ila sometimes unakuwa kama unajipendekeza, tena sometimes unakuwa kama mwehu. Sasa hiki unaandika huku ukijua hakiwezekani kiKatiba, nikuweke kundi gani kati hayo hapo juu?
  9. F

    JamiiForums Tanzania Nukuu toka kwa Rais Magufuli (QUOTES)

    Tanzania ni tajiri
  10. F

    JamiiForums Tanzania Arusha: Mpaka wa Kenya na Tanzania, Namanga wafungwa

    Acheni kuandika habari kama hizi mnatutia hasira sie. Hamna uhuru to that extent... Watch it!!!
  11. F

    JamiiForums Tanzania Sikutegemea kama mdogo wangu Nape naye angelimia meno, wengi mjiandae

    Ipo siku tutashangaa kusikia na wewe unalimia meno. Hakuna aliye salama, Nape na wewe unadhani ni nani aliyemsifia?
  12. F

    JamiiForums Tanzania Waziri wa Mambo ya Ndani, Mwigulu Nchemba: Naagiza aliyemtolea bastola Nape Nnauye, achukuliwe hatua

    Tatizo hatutajua kitacho fanyika. Hapo ndo mwisho Wa story kaka
  13. F

    JamiiForums Tanzania Wanasheria msikubali TLS ikanajisiwa

    Iwapo wanajeshi wanapewa ukuu Wa Wilaya na Mikoa, iwapo mwanajeshi anaongiza idara nyeti ya CCM. Iwapo naibu mwanasheria mkuu Wa serikali anateuliwa kuwa mbunge kwa tiketi ya CCM Iwapo naibu mwanasheria mkuu toka mhimili uliojichimbua chini zaidi ya yote anakwenda kuongoza mhimili Wa bunge la...
  14. F

    JamiiForums Tanzania Uongozi ni kipaji siyo vyeti hata Dr Slaa hana degree!

    Hapa tunaongelea swala la kughushi vyeti sio talanta ya uongozi
  15. F

    JamiiForums Tanzania Manji atakiwa kuripoti Ofisi za Mamlaka ya Uhamiaji. Pasi 126 za kusafiria zakamatwa ofisini kwake

    Wameajiriwa na Manji nyumbani kwake au wameajiriwa na Quality group? Nani ana shitakiwa hapo? Wajuzi wa sheria mtuweke wazi
Back
Top Bottom