Recent content by Fabulously Chic

  1. F

    JamiiForums Tanzania Dennis Robert Shughuru - Hii ni Post of Appreciation

    Nilikuwa sikutilii maanani mwanzoni, ni kutokana na mambo mbalimbali yaliyokwisha na yanayoendelea hata sasa. Ila una kitu. Vitu vikubwa. Ninatumaini siku moja tubadirikiwe na viongozi wenye nia thabiti kama yako. Nia ambayo haitaishia kwenye maneno tu, badi hadi utekelezaji, na...
  2. F

    JamiiForums Tanzania Kumbe kuna uhaba wa USD ($) Tanzania?

    Inalipwa kwa USD
  3. F

    JamiiForums Tanzania Nimemtimua shemeji yangu, kumbe usiku alikuwa analala uchi chumba kimoja na mwanangu mdogo!

    Kwanini mtoto alale sebuleni, kwamba huyo mgeni ni mgonjwa ama?
Back
Top Bottom