Kwa kuanzia si mbaya,sidhan kama kuna mtu anaeweza kuanzia juu tu lazma uanze chini,mi nilianza na mtaj wa laki moja tu,kwaiyo tukiungana wawili tunakua na laki 6 mtaj mkubwa mno huo na mzigo utakua mkubwa tu
Naitwa Fabian
Nipo mwanza
Nina mtaji kidogo hapa kama laki tatu,nahitaji kijana mwenzangu jinsia yoyote mchapa kazi mwenye kiasi kama cha kwangu tuanze biashara ya viatu vya mtumba tunachukulia hapo mlango mmoja,tunatembeza minadani kote kama misungwi,hungumalwa,ngudu,malya,magu na hapo mjini...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.