Recent content by F4B

  1. F

    WAZIRI WA ELIMU Prof Mkenda naomba upige marufuku watoto kwenda Shule Jumamosi

    Naunga mkono hoja na Likizo ziheshimiwe.Private School wanalazimisha watoto kubaki likizo na fedha kubwa.
  2. F

    Tumia mafuta ya habat soda (black seed oil) kutibu magonjwa mengi

    Unakunywa bila kuchanganya na Chochote?
  3. F

    Tumekuwa Bendera fuata Upepo

    Watanzania tumekuwa kama bendera fuata upepo,hatujipi muda wa kutafakari mambo kwa kina mbaya zaidi tumekuwa tukifurahia kusikia maneno tunayotaka sisi kusikia yawe ya kweli au yasiyo ya kweli tunafurahi
  4. F

    Mke wa Mrisho Gambo aondolewa uafisa elimu

    Hii miongozo huwa mnaisoma wapi? Wenzetu, Kuna watumishi wasio ruhusiwa kabisa kujihusisha na Siasa. Lakini kuna watumishi wanao ruhusiwa kujihusisha na Siasa nje ya masaa ya kazi, Walimu ni kundi la watumishi wanaoruhusiwa kufanya Siasa baada ya Muda wa kazi.Ndiyo maana walichofanya ni...
  5. F

    PreGE2025 Kupigana wenyewe kwa wenyewe kunavunja umoja wa kitaifa

    Andiko lako limenikumbusha wanaopata mali kwa kutoa kafara ndugu zao, mwisho huwa wanaishia kubaya
  6. F

    Cheo cha Ubunge ni kizuri sana Tanzania

    Kwa hiyo wabunge wasiwe wanatudanganya eti hakuna Masrahi
  7. F

    Cheo cha Ubunge ni kizuri sana Tanzania

    Naona kabisa ndugu iweje mtu hataki umkuu wa mkoa anataka Ubunge?
  8. F

    Cheo cha Ubunge ni kizuri sana Tanzania

    Wanajukwaa hiki cheo ni kizuri sana, kikubwa sana au kitamu sana hapa nchini kwetu? Unajiuliza kinachotokea jijini Arusha mnyukano wa mkuu wa mkoa na Mbunge wa sasa unahusishwa na mbio za Ubunge. Yaani mtu hataki kuongoza mkoa anataka majimbo ndani ya mkoa tu.Vile vile Mzee Masatu Wasira...
  9. F

    Kwa hiyo Mrisho Gambo, kuomba kwako MSAMAHA unakiri kua Umetoa Taarifa za Uongo Bungeni zenye chuki na kisasi dhidi ya Makonda na Mchengerwa?.

    Nilisema hapa juzi tumuogope Mungu, madaraka yanapita ipo siku utabaki ulivyo wewe na Muumba wako tu.
  10. F

    Je? Viongozi wa dini wanaonekana ni wa Muhimu tu wakati wa hatari?

    Mkuu kwa Maoni yangu Mungu ndiye last say, siku ya mwisho hakuna cha fedha, Majumba ya kifahari, Bunduki, Mizinga wala Mabomu au vifaru unabaki wewe na Mchanga. Sasa kwa nini tusikae na kukubaliana kwa utaratibu mzuri tu. Na sheria itumike pale panapokuwa na mtu anayevunja sheria na kuharibu...
  11. F

    Je? Viongozi wa dini wanaonekana ni wa Muhimu tu wakati wa hatari?

    Nimeamua kuuliza swali hili kwa wanajukwaa hili baada ya kufanya tafakari mbili . Mosi nilimsikiliza Mkuu wa Majeshi mstaafu Venance Mabeyo akisema masaa machache kabla ya hayati Dr.Pombe Magufuli kupumzika kwa amani siku hiyo asubuhi aliomba aitiwe baba Paroko wake Kama sikosei anaitwa...
  12. F

    Dhehebu ya kupeleka Sadaka ni Romani Catolik pekee yake, mengine ni Chawa Pro.

    Mtoa post una hoja japo kuna mtu anapinga.Ukuwa Muongo usiwe msahaurifu,Amesahau Askofu niwemugizi alitishiwa kupokonywa Urai wake kwa kumkosoa Magufuli.Na mRC wasivyo na kinyongo misa ya Mazishi ya Magufuli ni yeye aliyeongoza hiyo ibada.
  13. F

    PreGE2025 CHADEMA yaomba siku 21 kujibu hoja zilizowasilishwa Mahakamani na wanachadema wanne kusimamisha shughuli zote za kisiasa za chama

    Katiba CDM Iko wazi ukikipeleka chama Mahakamani unajifuta uanachama automatically
Back
Top Bottom