Recent content by ezra essau

  1. E

    Ajari ya basi leo tarehe 13

    Breaking news:- Basi la kampuni ya Mbaazi linalofanya safari za Moshi Dar limeacha njia na kupinduka eneo la mwanga mkoani kilimanjaro leo tarehe 13/11/2014. Inasemekana kuna abiria wamepoteza maisha na wengine kujeruhiwa. Tutawaletea habari kamili na picha. Endelea kutembelea Wahangaza Blog
  2. E

    Ajali ya basi Kahama yachukua uhai wa baadhi ya abiria

    Repture man@ nichek kwa namba hizi 0766378713 unitumie jina la huyo mtu wenu tuone kama tutapata taarifa. Mi ni blogger wa www.wahangaza.blogspot.com nipo kahama na nimefika eneo la tukio bt kwa sasa naelekea ngara ila nitajaribu kufatilia.
  3. E

    Ajali ya basi Kahama yachukua uhai wa baadhi ya abiria

    Breaking news:- Basi la wibonela linalofanya safari zake kahama Dar limeua watu zaidi ya watano na kujeruhi wengi leo asubuhi eneo la fantom kahama. Chanzo ni mwendo kasi uliomshinda dereva wa basi hilo kukata kona la kuingia barabara kuu hivyo kuruka nje na kusababisha basi hilo kupinduka.
  4. E

    JWTZ yawapiga wananchi Ngara!

    Wanajamii jeshi halijapiga mtu zaidi ya vijana kukamatwa na sio wa chadema kama alipost habari anavyodai . amelipaka matope jeshi ni bora arudi afute kauli
  5. E

    JWTZ yawapiga wananchi Ngara!

    Zaidi habari hii ingekuwa sahihi endapo ingetolewa kwamba mabomba yamekatwa na watu kupigwa lkn sio kuhusisha vyama vya siasa. Ni kweli bomba zimekatwa na vijana ila sio chadema wa ccm haijurikani ni chama gani. Uchochezi haufai tutoe habari kama zilivyo
  6. E

    JWTZ yawapiga wananchi Ngara!

    Mimi ni mwandishi wa blog maarufu ya wahangaza blog ya wilayani ngara nimefatilia habari hii baada ya kuiona humu maana nipo ngara kwa sasa tena kwa kutumia reporter wangu aliyepo mrusagamba majibu ni kwamba habari hii sio ya kweli ns hakuna kitu kama hicho kilichotendeka wilayani ngara. Naomba...
  7. E

    NGARA ni Tanzania ama?

    Bila shaka akiyepost mada atakuwa mkimbizi kutoka burundi au rwanda aliyekimbia vita kwao.
Back
Top Bottom