Recent content by ezoo

  1. E

    Andrew Nyerere ni mgonjwa wa afya ya akili, asaidiwe kwa maombi

    ANDREW NYERERE NI MGONJWA WA AFYA YA AKILI , ASAIDIWE MAOMBI. Familia ya mwalimu Nyerere ilipata bahati mbaya sana na haikuwa bahati kwa huyu mtoto wake Andrew Nyerere ambaye ni mtoto mkubwa wa Baba wa Taifa ana matatizo ya akili na wendawazimu ambao kwa kweli anatakiwa apewe matibabu na...
  2. E

    Polepole kanatudanganya juu ya bima ya afya na hesabu zake za Abunuwasi apuuzwe kabisa

    Polepole kanatudanganya juu ya bima.ya afya na hesabu zake za bunuwasi apuuzwe kabisa, Hana akili yoyote ya Actuarial Science haiwezekani haje na graph zake, a bunuwasi kuja kusema mambo ambayo hata mtoto mdogo anaona ni uongo kabisa. Apuuzwee polepole.
  3. E

    Huyu hakuwa raia mwema, haiwezekani umpige askari kwa teke na ngumi

  4. E

    GE2025 Special Thread: Taarifa za Kampeni za Wagombea Urais kupitia CCM, Samia Suluhu na Dkt. Emmanuel Nchimbi

    Maelfu ya Wananchi wa Wilaya ya Rungwe Mkoani Mbeya waliofurika kwenye mkutano wa Kampeni za Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM) Mhe.Dkt. Samia Suluhu Hassan leo September 05,2025.
  5. E

    GE2025 Special Thread: Taarifa za Kampeni za Wagombea Urais kupitia CCM, Samia Suluhu na Dkt. Emmanuel Nchimbi

    Umati wa Wananchi wa Mbeya Mjini waliofurika kwenye mkutano wa Kampeni za Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM) Mhe.Dkt. Samia Suluhu Hassan leo September 04,2025.
  6. E

    GE2025 Special Thread: Taarifa za Kampeni za Wagombea Urais kupitia CCM, Samia Suluhu na Dkt. Emmanuel Nchimbi

    Songwe ametekeleza na bado atatekeleza kwa awamu ya pili, wanasongwe tumedhamira na tunakwenda na mama SSH2530, songwe na maendeleo; 📍 Elimu – Shule za msingi na awali zimeongezeka kutoka 453 hadi 519. 📍 Miundombinu – Bilioni 40 (TANROAD) + Bilioni 43 (TARURA) kwa barabara zaidi ya km 3,300...
  7. E

    Polepole na tuhuma za uongo dhidi ya mradi wa JNHPP

    Kuhusu swala la Polepole kusema kwamba kwenye mradi wa bwawa la JNHPP kuna ubadhilifu wa pesa, hilo ni uongo kwa sababu zifuatazo: 1. Mradi wa JNHPP ni mradi wa kimkakati ambao ulikuwa ndoto ya viongozi waliopita na huu ni mradi ambao umeenda kutatua tatizo la umeme kwa Watanzania. Pia...
  8. E

    Ukarabati wa madarasa shule za msingi na sekondari

    Tupe habar kuu kama uko na uwelewa nzur
  9. E

    Ukarabati wa madarasa shule za msingi na sekondari

    Serikali chini ya Mhe. Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan imefanya maboresho ya miundombinu ya madarasa katika shule za msingi na sekondari ambapo hadi sasa kiasi cha shilingi Bilioni 104.5 zimetumika kuboresha shule ya sekondari Kongwe kwapakacha katika mwaka wa fedha wa 2023/2024 katika Ujenzi wa...
  10. E

    Maoni, Ushauri, Mapendekezo na Pongezi kwa Rais Samia Suluhu Hassan

    Mafanikio ya Serikali ya Awamu ya Sita chini ya Rais Dk. Samia Suluhu Hassan (2020–2024) katika Kuimarisha Miundombinu ya Elimu: 📍Shule za msingi: 16,656 → 19,783. 📍Shule za sekondari: 5,001 → 5,926. 📍Madarasa ya msingi: 128,425 → 155,330. 📍Madarasa ya sekondari: 46,928 → 81,052. 📍Nyumba za...
  11. E

    Polepople: Cuba mtungi wa gesi wa kilo 20 unauzwa TZS 2,000/=. Tanzania unauzwa 55,000/= TZS.

    1.Cuba ni nchi ya kijamaa(socialist) hivyo serikali hutenga ruzuku kubwa kwa ajili ya manunuzi na kuendeleza miundombinu ya gasi,ila tanzania bei elekezi hutegemea zaid soko la dunia (market based),gharama za uagizaji na kodi za ndani. 2.Cuba inachukua gasi kutoka kwa mshirika wake Venezuela...
  12. E

    GE2025 Morogoro: Kampeni ya Uchaguzi ya Samia Suluhu kata ya Ngerengere

    Tukiwa hapa Ngerengere kwenye mkutano wa kampeni za CCM Askof Dr George Pindua wa Kanisa la KKKT ndio aliefanya maombi ya kufungua mkutano. Na ndiye Askofu aliyealikwa Lakini kuna Askofu aliyemaliza Muda wake Askofu Mameo nae ameonekana kwenye mkutano na akataka atambuliwe kama askofu wa jimbo...
Back
Top Bottom