Recent content by Ezemelody

  1. E

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu: Remedy? Tunaenda Mahakama ya Rufaa ya Tanzania. Tutajua kama tuna Mahakama ya Tanzania au tuna 'Mahakama' ya Tanzania

    Sawa,wakili msomi na mawakili wenzenu wasomi...mkiangukia pua kelele kama zote,,,mbwembwe nyingi ujuaji mwingi mwisho inakua hivi...labda kesi hii muipeleke MIGA
  2. E

    JamiiForums Tanzania Sijawahi kuona mama mkwe akipatana na mke wa mwanae hata siku moja.

    mimi nimeoa 2013.mke wangu na mama yangu wanapendana sana,kiasi kwamba huwa nawaza siku nikipishana na mke wangu mama anaweza ata kunipa laana..mama hajawahi kunilalamikia chochote kuhusu mke wangu,wala mke wangu hajawahi kunilalamikia lolote kuhusu mama...
  3. E

    JamiiForums Tanzania Kwa hili la vitambulisho vya wajasiliamali, Rais anahitaji pongezi

    jana nimesafiri na jamaa mmoja mchuuzi wa kuku,anafurahia sana kuwa na kitambulisho.anasema kuwa hapo kabla walikuwa wakidaiwa elfu tano kwa kila tenga la kuku,sasa kwa mwaka mzima ilikuwa hela nyingi sana..kwaiyo kwa vitambulisho hivi wakiwa navyo hawadaiwi chochote...
  4. E

    JamiiForums Tanzania Diwani wa CHADEMA kata ya Chikola wilaya ya Manyoni atimkia CCM

    aliyekuwa diwani wa kata ya chikola wilayani manyoni Mh. EZEKIEL MATALALI hapo jana tarehe 15/9/2018 amejiunga ccm na kupokelewa na mwenyekiti wa ccm wilaya bwana JUMANNE ISMAIL MAKHANDA. Aidha pamoja naye walipokelewa wanachama wengine 42 wa chadema wakiwemo wenyeviti wa vitongoji na wajumbe wa...
  5. E

    JamiiForums Tanzania Maoni, Ushauri na Mapendekezo kwa Rais Dkt. John Pombe Magufuli

    Nashukuru kwa ushauri,lkn ambia watu wanisaidie kufikisha ujumbe
  6. E

    JamiiForums Tanzania Maoni, Ushauri na Mapendekezo kwa Rais Dkt. John Pombe Magufuli

    Siwazi ivo,ndio maana nimekuwa muwazi tuu,,ata ivo maendeleo hayana chama
  7. E

    JamiiForums Tanzania Maoni, Ushauri na Mapendekezo kwa Rais Dkt. John Pombe Magufuli

    Sio kichekesho,,,ni ujumbe kwa mh raisi,,,
  8. E

    JamiiForums Tanzania Maoni, Ushauri na Mapendekezo kwa Rais Dkt. John Pombe Magufuli

    Nisaidie kufikisha ujumbe,,lugha chafu hainisaidii lengo langu,,hata wewe pia haikusaidii
  9. E

    JamiiForums Tanzania Maoni, Ushauri na Mapendekezo kwa Rais Dkt. John Pombe Magufuli

    Sheria inamruhusu mtu wa miaka 21 kugombea udiwani na ubunge,,,kipi kigezo cha ukuu wa wilaya kinachokataza.umri sio ishu,swala ni uthubutu
  10. E

    JamiiForums Tanzania Maoni, Ushauri na Mapendekezo kwa Rais Dkt. John Pombe Magufuli

    Amba Ambacho hujaelewa nini,,,ata ivo nisaidie tuu kufikisha ujumbe,majibu yako hayanisaidii..
  11. E

    JamiiForums Tanzania Maoni, Ushauri na Mapendekezo kwa Rais Dkt. John Pombe Magufuli

    Nisaidie kufikisha ujumbe,
  12. E

    JamiiForums Tanzania Maoni, Ushauri na Mapendekezo kwa Rais Dkt. John Pombe Magufuli

    Kwani ww raisi,,,nisaidie kunfikishia ujumbe,,hayo mengine ataamuwa yeye
  13. E

    JamiiForums Tanzania Maoni, Ushauri na Mapendekezo kwa Rais Dkt. John Pombe Magufuli

    Shikamoo muheshimiwa raisi kama unasoma mitandao. Pole na majukumu ya kulijenga taifa...mimi ni kijana wa miaka 28 mkazi wa Wilaya ya manyoni,kata ya nkonko.elimu yangu ni kidato cha nne tuu na elimu pia ya ufundi. Na pia ni mwanachama wa chadema. Kwakuwa naamini kuwa wewe unapenda maendeleo,na...
  14. E

    JamiiForums Tanzania Uchaguzi wa Marudio wa Ubunge majimbo ya Kinondoni na Siha, Udiwani Kata 8: CCM yanyakua majimbo yote!

    uchaguzi huu umegubikwa na ubabe,hila na dhuruma za wazi dhidi ya chama chetu.kama mtakosa Tena plani ya kuja nayo katika hili hakika Sasa tutapoteza matumaini.tunaamini chama chetu kilishaga Hama kwenye stage ya kulalamika.mnaposhindwa kuchukua hatua mnazidi kuwapa nguvu ccm na vibaraka wao...
  15. E

    JamiiForums Tanzania Jana wakati tunaandamana na Mwenyekiti wetu, Lowassa alikuwa wapi?

    Sasa angepaa kutoka siha hadi dar kuja kwenye maandamano? tumia akili angalau
Back
Top Bottom