Na Ezekiel Kamwaga
KWA mujibu wa wanasayansi, dunia yetu ina umri wa takribani miaka bilioni nne na nusu. Katika miaka hiyo, nchi iitwayo Tanganyika imedumu kwa muda wa takribani karne moja tu – katika hiyo, angalau miaka 61 kama taifa huru. Kwa vyovyote vile, kama taifa, Tanganyika ni mtoto...
Mercy Mengi na kadhia ya wenza wa matajiri
Na Ezekiel Kamwaga
KUNA msemo mmoja mashuhuri wa wahenga wetu kwamba kwenye mafanikio ya mwanamume, kuna mwanamke pembeni yake. Kama kuna mahali msemo huu umesadifu ukweli huu, basi ni kuhusu maisha ya aliyekuwa pengine bilionea maarufu zaidi nchini...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.