Recent content by Ezeki62

  1. Ezeki62

    Engine ya Toyota inayoweza kuvaa kwenye TATA PICK-UP

    Nipo Dar,leo mwezi sasa unapita natafuta control na hamna
  2. Ezeki62

    Engine ya Toyota inayoweza kuvaa kwenye TATA PICK-UP

    Natamani ila zinachosha kwenye upatikanaji wa spare zake incase unataka kutafuta spare.
  3. Ezeki62

    Engine ya Toyota inayoweza kuvaa kwenye TATA PICK-UP

    Hii D-4 ndio jina la engine.? Na zina range kwenye bei gan.?
  4. Ezeki62

    Engine ya Toyota inayoweza kuvaa kwenye TATA PICK-UP

    Waungwana habari zenu. Naombeni ushauri,nina gari yangu TATA XENON DICOR 3.0L. Nahitaji kuibali Engine niweke injini ya Toyota. Je niweke injini gani inaweza kuwa poa.?
Back
Top Bottom