Jamaa mmoja alikuwa akibishana na mkewe chumbani, mabishano yalikuwa hivi;
baba: Mke wangu wewe ni mwoga sana.
mama: hapana, wewe mume wangu ndio mwoga kuliko mimi.
baba: wewe ndo mwoga, mbona mbishi?
mama: wewe ndo mbishi, mwoga kama nini!
Mwafaka haukupatikana, wakatoka chumbani, kufika...