Recent content by Exploitee

  1. E

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri

    Usijali Kimichio!, Nashukuru kwa ushauri.
  2. E

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri

    Thanx Ikunda, naomba kama there is a way naweza kuitumia ili niweze kuiondoa hofu niliyonayo moyoni!! Naomba unisaidie!!
  3. E

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri

    Nitaleta feedback!!
  4. E

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri

    Thanx JS!! Nice advice!! Nashukuru sana!
  5. E

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri

    Dr phone, kabla sijaoa niliweza kwenda hata round 7.Honestly!
  6. E

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri

    Thank you!!
  7. E

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri

    What should i do, to get out of this condition!!
  8. E

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri

    Mke wangu ana umri wa miaka 30.
  9. E

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri

    Thanx Dr, but kila nikijaribu kupunguza mawazo na hofu, nashindwa!! Im really confused!!
  10. E

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri

    Nashukuru sana hebrew!! Nafikiri hilo ni jambo la muhimu sana, kwa maana, hivi recently kweli nimekuwa na mawazo ya kujaribu nje ya ndoa, but my conviction tries to restrict me!!. Thanx for your advice!! I really appreciate!!
  11. E

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri

    Habari wana JF! Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 33, nimeoa na ndoa yangu ina miaka miwili hivi sasa. Na nina mtoto mmoja. Kabla sijaoa, mimi na mpenzi wangu tulikuwa tunaweza kufanya mapenzi usiku mmoja zaidi ya round tatu. Siku moja kama miezi miwili hivi imepita, nilishiriki tendo na mke...
Back
Top Bottom