Surveyor alipita haraka haraka bila kuangalia vizuri na kujiridhisha. Aliyemkuta hakumuonyesha na nyumba nyingine ya nyuma ambayo ita share umeme na hapo penye chumba master, sebule na jiko.
Mimi pia niliomba kuunganishiwa umeme online sijapata control number nikalipie hadi sasa. Surveyor alishapima na ilioneka wire mita 3 unatosha kuunganisha. Pamoja na kwamba niko tayari kulipia 320,000/= bei ya sasa. Kabla ya hapo october mwaka jana 2021 nilishaomba umeme wa nyumba hii hii kwa...
Ndugu Mteja Ombi lako la kuunganishiwa umeme limepokelewa, Namba ya ombi U140622-27801 limewasilishwa ofisi ya TANESCO. Tutawasiliana na wewe kwaajili ya kukamilisha baadhi ya taarifa.
Ndugu Mteja Ombi lako la kuunganishiwa umeme limepokelewa, Namba ya ombi U140622-27801 limewasilishwa ofisi ya TANESCO. Tutawasiliana na wewe kwaajili ya kukamilisha baadhi ya taarifa.
Nimefanikiwa kujenga Apartment chumba, sebule na jiko, self contained nikaomba kuunganishiwa umeme online na contractor akaingiza mchoro online, surveyor kaja kukagua akasema apartment yangu ni ndogo siwezi kupata umeme. Sasa nashindwa kuelewa apartment kuwa ndogo ndio kukosa sifa ya kupata line...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.