Recent content by Examiner

  1. Examiner

    JamiiForums Tanzania Hemed Mohamed Mulokozi; Popote ulipo Baba, Nakutafuta mwanao

    Maana dunia hii kuna watu wanaroho ngumu sana
  2. Examiner

    JamiiForums Tanzania Hemed Mohamed Mulokozi; Popote ulipo Baba, Nakutafuta mwanao

    Kwakweli mkuu
  3. Examiner

    JamiiForums Tanzania Hemed Mohamed Mulokozi; Popote ulipo Baba, Nakutafuta mwanao

    Mungu akulipe Kwa Hilo mkuu
  4. Examiner

    JamiiForums Tanzania Hemed Mohamed Mulokozi; Popote ulipo Baba, Nakutafuta mwanao

    Basi unajiona mjanjaaaaàaa
  5. Examiner

    JamiiForums Tanzania Hemed Mohamed Mulokozi; Popote ulipo Baba, Nakutafuta mwanao

    Kwahy vip ashawapata ndugu zake hyo dada?
  6. Examiner

    JamiiForums Tanzania Hemed Mohamed Mulokozi; Popote ulipo Baba, Nakutafuta mwanao

    Hahahha,et "Mimi Salma"napicha ukaambatanisha watu wakajua washajiopolea bongo bhn
  7. Examiner

    JamiiForums Tanzania Maoni yangu kuhusu uchawi na kifo cha msanii Sam

    Sawa nmekuelewaa,mfano Mimi huwa naota kwamba kuna vita kubwa afu Mimi napambna thn napaa angan Yani kama ndege vile afu hii ndoto ni mara Kwa mara naota kama sio kila siku,je nini ishara ya hii ndoto?
  8. Examiner

    JamiiForums Tanzania Je, ni vibaya kuandika jina la mtoto katika kiwanja cha mke wangu?

    Mkuu maneno yako ya mwisho nimeyapenda,huyo bwana nmemwambia asije akaja hapa kuomba msaada atakapolizwa Kwan tumefanana Kwa mawazo big up wanaume tunaojitambua kama Mimi na wewe
  9. Examiner

    JamiiForums Tanzania Je, ni vibaya kuandika jina la mtoto katika kiwanja cha mke wangu?

    Mkuu Mimi sion tatizo kuandika jina la mtoto,ila trust me kuwa utakuja kulia nakuomba ushaur hapa pindi utakapolizwa na mkeo Kwa kudanganywa eti ukakope pesa benk ili mkajenge kweny kiwanja chakee et kachoka kupanga,zinduka kidumee unadanganywa Mzee utashindwa kulipa bure uende Kwa pilato uachee...
  10. Examiner

    JamiiForums Tanzania Kwanini nanunua LUKU halafu nalipia VAT, REA pamoja na EWURA?

    Hiyo Mita yake nadhani ni tarifu zero af pia ni MTU anaekaa kwake,sasa wew uliezoeaa NYUMBA za kupanga umeme wa laki unit Mia,endeleaa kupanga hivhivo
  11. Examiner

    JamiiForums Tanzania Natafuta anayesafiri kutoka Dar kwenda Moshi tarehe 09.06.2018

    Ndoyapi hayo Mkuu,yamagazeti
  12. Examiner

    JamiiForums Tanzania Natafuta anayesafiri kutoka Dar kwenda Moshi tarehe 09.06.2018

    Mkuu magar ya nagazet ndoyapi?
  13. Examiner

    JamiiForums Tanzania Natafuta anayesafiri kutoka Dar kwenda Moshi tarehe 09.06.2018

    Acha haraka dogo,wap kaandika kissing?Acha mihemuko
  14. Examiner

    JamiiForums Tanzania Kifo cha mapacha kwa siku moja

    Soma dini kijana Acha longolongo
  15. Examiner

    JamiiForums Tanzania Mfungo na adha zake

    We jamaaa mbishi kuelewaa sanaee
Back
Top Bottom