huna lolote we ni boya kama maboya wengine. You dont know the real situation thats why you are talking such nonsense. Siwezi nikafanya mambo ya kijinga kama huu uongozi hapa, mzee hasikii wala haelekezeki, uongozi na wasaidizi wake ni wanafiki, wanakalia viti kwa maslai yao wenyewe. Kama wewe...
Ndugu wamisako tatizo ni mkuu wetu wa shule anaendesha shule vibaya. Anatumia fedha za shule kwa manufaa yake na hatuambii walim mapato na matumizi. Ameweka wanawake ktk nafasi za juu ili aweze kuwaburuza maana wanawake wenyewe wanakuwa watii kwake mfano academic na kaimu makamu mkuu wa shule...
Kaimu DEO idara ya sekondari na mtaaluma wanachangia sana kuangusha kiwango cha elimu hapa wilayani na hasa hapa shuleni kwetu Ewong'on.
Sisi waalim wa Ewong'on sekondari tulipeleka malalamiko yetu kwa DEO na Mtaaluma kuhusu uendeshaji mbovu wa shule yetu lakini hakuna hatua thabiti...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.