Kwa Tanzania kada ya Uuguzi na Ukunga ngazi ya Shahada(Degree) inasomwa miaka 4 ukiongeza mmoja wa intership,lakini kwa masikitiko ni kwamba kuna baadhi ya vyuo sitavitaja vinatoa iyo shahada kwa miaka 3 wengine miaka 2.5
Ni kwanini Baraza la Uuguzi na Ukunga(TNMC) limeshindwa kusimamia hii sera...
Hii imekuja hivi karibuni baada ya kiongozi/Msajili wa baraza la kusajili na kusimamia Wauguzi Tanzania Bi.Agnes mtawa kudai kwamba hajui ni nani aliyeanzisha muundo wa Muuguzi ngazi ya Degree kulipwa TGHS C badala ya TGHS D kama kada nyingine ambazo miaka ya kukaa darasani ni sawa na wauguzi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.