Tatizo huwa atuweki sawa mambo yetu mpaka pale mambo yanapoenda yombo ndio watu wanatambua umuhimu wa jambo husika,ni kweli linatuumiza wengi ila ifike wakati pia kwamba haya mapungufu yanapoonekana toka mwanzo basi yashughulikiwe mapema maana tunaoumia ni sisi walaji,kwa mfano:-
Azam...
Kwangu hiyo nmb mobile imekuwa ni kero,nilipoteza line ya simu wakaniambia nikarudishe laini iliyopotea,nikafanya hivyo nikawapelekea ofisini ofisini bado hakuna kitu,fomu nimejaza lkn bado ni yaleyale, sasa sijui ugumu ni nini.ukifika pale MTU anakuambia nenda tu kwenye machine ukajiunge huku...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.