upuuzi eti unapenda mkeo sana huku una mchepuko pia unataka hata kumuoa daah binafsi yaani nimekubamba hata kwa message tu sina stori nawe ni kila mtu njia yake maana hata tukisema mtu unavumilia nini kama sio kuja kupata magonjwa maana mtu wa hivi ni hatari ni anatamaaa na ujana haujamuisha ...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.