Recent content by EVIG

  1. EVIG

    JamiiForums Janga la advanced level PCB/CBG Vs vyuo vya afya na ndoto za udaktari.

    Bro kiukweli ningejua huja mwisho wa safari nimeona qadau kibao wamejutia shule ya a level kwa sayansa ni mateso bila chuki mm naamini colleges ni solution. U want to be engineer nenda DIT U want to be Dr college hizo hapo juu
  2. EVIG

    JamiiForums Janga la advanced level PCB/CBG Vs vyuo vya afya na ndoto za udaktari.

    Hiyo elimu ya A level unajua iko nchi ngapi?
  3. EVIG

    JamiiForums Janga la advanced level PCB/CBG Vs vyuo vya afya na ndoto za udaktari.

    Kaka hizi complications ni za bongo tu nchi kama Russia na Ukraine watu wanunga MD kutoka C.O hadi GPA YA 2.0
  4. EVIG

    JamiiForums Janga la advanced level PCB/CBG Vs vyuo vya afya na ndoto za udaktari.

    Imewahusu wengi sana na imetugharimu sana
  5. EVIG

    JamiiForums Janga la advanced level PCB/CBG Vs vyuo vya afya na ndoto za udaktari.

    Big bro u have spoken mwenye sikio na asikie I think NTA is the more excellence way nimeipenda sana hii
  6. EVIG

    JamiiForums Janga la advanced level PCB/CBG Vs vyuo vya afya na ndoto za udaktari.

    Mkuu hii kitu iko clear kutana na wadau 10 walisoma sciences A level watakujibu wengine walisha haidi watoto wao hawawezi kuwapeleka kwenye msoto huu
  7. EVIG

    JamiiForums Janga la advanced level PCB/CBG Vs vyuo vya afya na ndoto za udaktari.

    Kwa mtu ambae hajaonja mziki huu anaweza asielewe unasema nini
  8. EVIG

    JamiiForums Janga la advanced level PCB/CBG Vs vyuo vya afya na ndoto za udaktari.

    Sija shusha kozi zingine najua kuna watu wana ndoto za ualimu tangu wakiwa wadogo na hiyo haikuamuliwa na matokeo mimi niko upande wa watu ambao hawakuwahi ota ualimu na wakajikuta walimu kwa ajali na matokeo yake unaweza kuimagine
  9. EVIG

    JamiiForums Janga la advanced level PCB/CBG Vs vyuo vya afya na ndoto za udaktari.

    Habari za majukumu wakuu kuna jambo hili la advanced level kwa combination za sayansi na ndoto za udaktari kweli mimi sijawahi kuiamini structure ya advanced level kwa sayansi kama imesaidia watu kukamilisha ndoto zao zaidi sana nimeona imekuwa maumivu makubwa sana watu wanapenda kujiunga na a...
  10. EVIG

    JamiiForums ESCROW: Serikali yazuia mali za Singh na Rugemalira, watuhumiwa zaidi kuongezeka

    Let us wait and see time will tell
Back
Top Bottom