Tumekuwa tukifanyia clinical rotation muhimbili, temeke na mwananyamala. Ila wanatuhamisha kutupeleka Tanga( Bombo), ila huko pia ni wanaenda kukudump utakujua mwenyewe unaishije kikubwa ufike hospitalini ilhali dar mtu ashajiestablish tayari maana chuo hata hostel hakina
Mimi ni mwanafunzi wa mwaka wa pili (MD 2) St. Joseph university tawi la Boko.
Hivi karibuni chuo kimeongeza 1.25m hela hiyo ikipewa jina la "CLINICAL ROTATION FEE" tofauti na ada ya 5.9m tunayoilipa.
Tumekuwa na vikao vingi na uongozi wa chuo tukihoji uhalali wa hio pesa ila chuo kimekuwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.