Recent content by evergreen juggle

  1. E

    JamiiForums Tanzania Dhamana chanzo cha chuki katika jamii

    Kumekuwa na tabia ya kuchukiana na kuanzishiana migogoro isiyokuwa na ulazima katika Jamii zetu. Migogoro hii imekuwa baina ya ndugu,rafiki,majirani na wakati mwingine hadi kwa wazazi Ni vema Jamii ikafahamishwa na kueleweshwa kuwa DHAMANA ni jambo la hiyari ama hisani na sio HAKI ya...
  2. E

    JamiiForums Tanzania SoC04 Suluhisho la tatizo la upungufu wa ajira nchini

    Muda mrefu sasa mfumo wetu wa elimu umekuwa hauendani na mahitaji ya soko la ajira, lakini pia hauendi sambamba na mabadiliko ya dunia katika nyanja ya teknolojia yaliyopo kwa ujumla kwani kama taifa tumekuwa nyuma zaidi huku baadhi ya mataifa yakituacha mbali sana katika nyanja ya elimu...
Back
Top Bottom