Wabongo mnashangaza sana. Hujaambiwa u-apply, umeambiwa kwa maelezo zaidi tuma email smforo@yahoo.com. Mwingine anasema ni scam, kwani umeombwa hela? Mimi ni raia mwema, nimepata habari kuna kitu kizuri kwa watanzania wenzangu wanaofatuta kazi, mimi sio msemaji wa hicho chuo sasa unataka...
Moja ya vyuo vikuu vilivyopo kanda ya kaskazini kinatafuta mhadhiri msaidizi au mhadhiri kamili katika fani ya Mass Communication. Mlengwa awe walau na shahada ya uzamili (masters) katika fani ya mass communication, media studies, communcation au inayofanana nayo. Anaweza pia kufikiriwa...
Nauza kontena lenye urefu wa futi 20. Limekatwa mlango pamoja na madirisha. Kwa sasa linatumika kwa biashara ya stationery. Ukiliona ni kama jipya. Bei ni milioni 5.5, mazungumzo yapo. Lipo Mjini Moshi. Mawasiliano 0754 484262
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.