Hizo range ni uwezo hizo brackets za kufunga tv za size hizo zilizoainishwa hapo pia hata ukubwa wa hizo brackets ni tofauti kama ilivyo kwa size za tv na ukubwa wake.Hizo size za brackets zinahusisha pia kgs ambazo zinauwezo wa kuhimili size husika.
Karibuni wataalam wa mambo ya Satellite dish Ngalawale Eletronics kwa vifaa vya kisasa na utalaamu wa juu tupo Ungindoni mjimwema Dar-es-salaam.Kwa kufika au kupata vifaa vya kisasa kama RG 59,RG 6 Cables,Madishi ya offset yenye stendi kama foot 6,smart watches, smart wear, virtual reality...
Si lazima sana dish dogo linalotumia KU LNB lifungwe kwenye canopy au fissureboard .Wasiliana sasa na wataalamu na wauzaji wa madishi aina zote ambayo humpa mteja uamuzi pakufunga dish lake mahali popote.Contact: 0763010104 au 0683747717 na whatsapp 0716565280
Hello friends in this special venue.I would like get the frequency of Trenet channel.I have tried to trace on www.lyngsat.com and i have not got the clear information about trenet channel in Tz.Please help!!!!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.