Recent content by Evarist mathias

  1. Evarist mathias

    JamiiForums Tanzania Enzi zetuu bhana*

    Enzi zetu Bwana Daftari ya Mazoezi ukigeuza nyuma lilikuwa na:- Table hadi 12x12 Kubadili Centigrade Celisius kwenda fahrenheit Uwiano wa vipimo Kilomita, Hektomita, Decimita, Sentimita na Milimita. Za kizazi kipya sasa! Daftari zina picha za akina Messi, Ronaldo, John Cena, Undertaker na...
  2. Evarist mathias

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Kaka yangu alimtongoza mpenzi wangu akamtukana sasa kaniacha

    Jamani naombeni msaada wa kimawazo, nimeshindwa cha kufanya. Msichana wangu alikuwa akitongozwa na kaka wangu ila kaka alikuwa anamtaka lakini msichana alimkatalia na kuamua kuwa na mimi. Lakini kaka alikuwa hajui kama niko nae yule msichana ila baadae alikuja kujua lakini kaka ilikuwa kama...
  3. Evarist mathias

    JamiiForums Tanzania Pressure ya macho ndio nini ?

    Ni kwer bro
Back
Top Bottom