Recent content by Evarest cath

  1. Evarest cath

    Fursa za Kazi na mafunzo ya Ujenzi kwa Mafundi na Wasaidizi

    Habari ya wakati huu wapendwa. Ni fursa nyingine kubwa kwa wale mafundi ujenzi na wasaidizi wa kazi hizo (saidia fundi). Tunahitaji mafundi wenye uzoefu wa kujenga; kuanzia kujenga tofali mpaka kupiga plaster na ambao wanajua ubora wa kazi na wana nidhamu ya kazi. Kazi zetu sio za kufanya siku...
  2. Evarest cath

  3. Evarest cath

  4. Evarest cath

    Fursa za Kazi na mafunzo ya Ujenzi kwa Mafundi na Wasaidizi

    Mafunzo hasa ni ya vifaa vya ujenzi na ujenzi. Na gharama ni bure kabisa Sent from my MRD-LX1F using JamiiForums mobile app
  5. Evarest cath

    Fursa za Kazi na mafunzo ya Ujenzi kwa Mafundi na Wasaidizi

    Mafunzo ni bure kabisa. Yanachukua muda wa week 2 kwa wasaidizi ila kwa fundi inakua sio mafunzo bali ni orientation, kwa mafundi ni week 2
  6. Evarest cath

    Fursa za Kazi na mafunzo ya Ujenzi kwa Mafundi na Wasaidizi

    Hakuna ada yeyote inayotozwa ni bure kabisa na mwanafunzi ambaye anajifundisha apa atapewa posho ya chakula.
  7. Evarest cath

    Fursa za Kazi na mafunzo ya Ujenzi kwa Mafundi na Wasaidizi

    FURSA FURSA FURSA Tunawatangazia mafundi wote wa ujenzi na wasaidizi wa kazi za Ujenzi kuwa kuna fursa ya kazi na mafunzo ya ujenzi. Pia kwa yeyote yule ambaye yuko tayari kujifunza ujenzi ata kama sio Fundi wa ujenzi atapokelewa. Tunapatikana Kibaha Misugusugu. Kwa maelezo zaidi piga: 0672629292
  8. Evarest cath

  9. Evarest cath

    Naomba msaada niweze kupata kazi🙏🙏

    Pole sana. Kama uko tayari kujifunza kazi za Ujenzi na kutengeneza vifaa vya ujenzi karibu kwetu apa tuna fursa nyingi sanaa unaweza kupata kitu. Teknolojia yetu ya ujenzi ni mpya na ina fursa chungu nzima. Tunapatikana Kibaha Misugusugu.
  10. Evarest cath

Back
Top Bottom