Zimebaki siku chache tujue elimu ya ufikiri kama ipo kwa wananchi wa Arumeru mashariki, naamini kipimo kidogo cha ufahamu wao watakionyesha tarehe moja, kama ilivyo siku yenyewe 'siku ya wajinga duniani'. naamini wana Arumeru wataenda tofauti na kuifanya iwe 'siku ya walioamka Arumeru'.. TUFANYE...