Recent content by Evance Komba

  1. Evance Komba

    Rais Magufuli kuzungumzia jimbo la Lissu sio kuingilia Mahakama?

    Kwahiyo hujui Kama mahakama imeshatimilisha Hilo shauri??? Hukumuona spika Ndugai naye alizungumzia suala Hilo baada ya mahakama kuhitimisha???
  2. Evance Komba

    Wasifu wa Bernard Kamilius Membe

    Alipo maliza mafunzo ya JKT mujibu wa sheria akaajiriwa ofisi ya Rais???? Aaaah mkisifia Sana mnachamba.. dhumuni Lenu limehaeibika , mkajipange Tena...
  3. Evance Komba

    Messi Vs Van Dijk nani atampoteza mwenzake?

    John cuyff ,"" mpira mzuri bila matokeo inaboa"""
  4. Evance Komba

    Tukifuzu AFCON mechi ya leo nakunya kuanzia Mwenge hadi uwanja wa ndege

    Umezoea uchafu wewe Sent using Jamii Forums mobile app
  5. Evance Komba

    Dkt. Bashiru amzuia Juma Nkamia kuendeleza mjadala wa kuongeza miaka ya Rais kukaa madarakani kuwa 7

    Kiukweli hoja ya miaka 7 kila term isitishwe, maana itamfanya akae miaka 14 tu katika terms mbili. Hii itatusaidia dhamira yetu ya kuhakikisha anaongoza miaka 10 , then tutabadili katiba katika presidential terms ili atuongoze miaka 10 mingine, na hilo halina ubishi. Utake usitake jamaa Hadi...
  6. Evance Komba

    Zitto: Nikipata mamlaka, nitamuajiri Sirro ili nimfukuze kazi awe na rekodi ya kufutwa kazi

    Heshima ya zitto katika ujenzi Wa hoja, unaporomoka kwa kasi. Anachokifanya sahizi nikuonekana mpinzani Wa vyombo vya dola, ninafikiri IGP nyundo yake.
Back
Top Bottom