Recent content by Evan misheboy

  1. E

    JamiiForums Tanzania Tanzania postal bank sales executive

    Sio kweli nimeuliza wamesema tuna anza na written then oral...nyie bahati yenu may be wame change stategy oral ilikuaje bhooke..
  2. E

    JamiiForums Tanzania Tanzania postal bank sales executive

    Duh ulipigiwa simu waliku heshimu sana mi nimetumiwa message kidogo nijue ya demu wangu kumbe interview..cha msingi tujue hio written ni maswal ya aina gani aptitude test au ndo ya darasani maana hawasomeki hawa...!
  3. E

    JamiiForums Tanzania Tanzania postal bank

    Yap bhooke tujuze wadau wanatoa maswali ya aina gani kama ni aptitude test ama ndo tuna rudishwa darasani..
  4. E

    JamiiForums Tanzania Tanzania postal bank sales executive

    Wadau nimepigiwa simu jumamosi interview written imekaa vpi ebu tiririkeni....!
  5. E

    JamiiForums Tanzania How much does a website cost??

    Just asking anyone to help me..!
  6. E

    JamiiForums Tanzania Hivi jamani tanzania postal bank wameita watu nafasi za sales?

    Tayari interview watu wanasubiri kuitwa waanze kazi...we sahau endelea ku apply
  7. E

    JamiiForums Tanzania Ugumu wa kupata ajira unatokana na chuo ulicho soma au?

    Kazi ngumu sana cha kwanza kushikana mkono,pili at least uwe ume faulu vizuri uitwe ata kwenye interview uka demonstrate ur capabalities unaweza uka toboa ila kama huna refa na kufaulu chengaaa basi wewe kachome mahindi au subiri miujiza itokee.
  8. E

    JamiiForums Tanzania Spendag hawa vipiii??

    Sijawaelewa hawa wanatoa nafas za kazi jana leo deadline hizo nafasi zina watu tiariiii......!!!!!!!
  9. E

    JamiiForums Tanzania Tanzania postal Bank..

    Finca hamna kitu bora uwe bodaboda mi washikaji zangu kibao wame acha pale...yani ni chengaa kazi stress maslahi hakuna.
  10. E

    JamiiForums Tanzania Tanzania postal Bank..

    Kweli ma benki ni majangaaa...ofisi nzuri tai kubwa mfukoni chengaaaa....
  11. E

    JamiiForums Tanzania Tanzania postal Bank..

    Vipi hii bank ya serikali malipo yao au ndo kama, Finca, bayport etc..!!
Back
Top Bottom