Recent content by evamajo

  1. E

    JamiiForums Tanzania nafasi mbili za kazi kwa walimu wa masomo ya sayansi

    shule ya st. Joackim iliyopo Same mjini inatangaza nafasi ; -kwa walimu wenye diploma ya ualimu - awe na umri usiopungua miaka 30. - Asiwe anasubiri ajira serikalini. - masomo ni physics & mathematics na biology & chemistry. * mwenye sifa na uhitaji awasiliane nao kwa namba 0689 837...
  2. E

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Kufanya kazi ambayo siyo uliyosomea

    kinachoumiza ni kwamba kujiajiri mtaji haupo, taasisi na company nyingi issue hata za kujitolea ili upate uzoefu unaotakiwa na wanaotangaza kazi nafasi hizo hazipo, interview kuitwa tu unajiona mwenye bahati, ukiwa kwenye interview nafasi moja watu kibao na usishangae hata anayepata nafasi hiyo...
  3. E

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Kufanya kazi ambayo siyo uliyosomea

    Noted!
  4. E

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Kufanya kazi ambayo siyo uliyosomea

    unalipwa, Ndibalema!
  5. E

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Kufanya kazi ambayo siyo uliyosomea

    naomba kufahamu kwa ufupi juu ya maadili ya kazi hii na ugumu wa kazi pia.
  6. E

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Kufanya kazi ambayo siyo uliyosomea

    nashukuru kwa kunitia moyo!
  7. E

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Kufanya kazi ambayo siyo uliyosomea

    kuna changamoto zipi ambazo umekumbana nazo huko
  8. E

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Kufanya kazi ambayo siyo uliyosomea

    asante kwa ushauri
  9. E

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Kufanya kazi ambayo siyo uliyosomea

    ushauri umepokelewa!
  10. E

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Kufanya kazi ambayo siyo uliyosomea

    nafurahi kwa kunifumbua macho.
  11. E

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Kufanya kazi ambayo siyo uliyosomea

    Habari zenu wana JF! Imepita miaka miwili sasa tangu kijana huyu mtanzania amalize Advanced Diploma ya Computer Science hana kazi! Wiki iliyopita anakutana na kazi eneo ambalo hakutegemea... kazi ya kuwa mwalimu wa sekondari. katika kazi hii ~mshahara ni 300000 kwa mwezi. ~Ni kwa masaa tisa...
Back
Top Bottom