Recent content by Eva B.N.

  1. Eva B.N.

    JamiiForums Kulikuwepo Utaratibu wa kuzipa Ruzuku Taasisi zisizo za Kiserikali

    Kulikuwepo Utaratibu wa kuzipa Ruzuku Taasisi zisizo za Kiserikali, ili kutekeleza miradi ya Kijamii. Kuna anayejua Uliishia wapi utaratibu huo? Maana kama utaratibu ulikuwepo kisheria sababu za kutokuwepo zingefahamika wazi.
  2. Eva B.N.

    JamiiForums Sweden: Tanzania's ambassador, Dr. Slaa called to the Foreign Ministry for a reprimand

    Awajibu kwamba hata Tanzania haifurahishwi na wao kuchelewa kuelewa Ushoga ni Mtamu. Iliwachukua karne nyingi kutambua hilo hadi wametuandikia Vitabu vilivyokataza ushoga huo. Sasa hivi wanapambana kutufuta walivyotubandika vichwani. Tanzania bado tuko upande wa wanyama wa Mwituni wanao amini...
Back
Top Bottom